Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
UPDATE: Baada ya tuhuma, hatimaye Jennifer Kyaka (Odama) atoa ushahidi wa kwenda nje.
UPDATE: Baada ya tuhuma, hatimaye Jennifer Kyaka (Odama) atoa ushahidi wa kwenda nje. 1UPDATE: Baada ya tuhuma, hatimaye Jennifer Kyaka (Odama) atoa ushahidi wa kwenda nje. 2Baada ya wadau mbalimbali kuanza kuhoji kuhusu uhalisia wa safari za mwigizaji Jennifer Kyaka (Odama) kwenda ulaya ambaye picha zake kadhaa zilizotolewa mtandaoni wiki chache zilizopita zikimtuhumu kuwa huwa haendi nje ya nchi bali anakuwepo nchini kwa lengo la kutafuta “kiki” na kutengezeza picha hizo kwa program maalumu ya kompyuta, hatimaye jana kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliweka picha zake mpya zinazomuonesha nchini Qatar katika maduka mbalimbali na kwenye uwanja wa ndege wa nchi hiyo.UPDATE: Baada ya tuhuma, hatimaye Jennifer Kyaka (Odama) atoa ushahidi wa kwenda nje. 3
 Picha hizi zimekuja kama ushahidi na majibu ya mwaswali yaliyokuwa yakiulizwa na wadau wengi kuhusu mwanadada huyu. Tazama picha hizi hapo
                                      Chanzo bongomovies

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top