Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

MAJINA YA ASKARI 7 WALIOFARIKI DARFUR

Haya ni majina ya askari 7 waliofariki jumamosi ya Julai 13, ambao walikuwa kwenye vikosi vya kulinda amani nchini Sudan ,ripoti  hiyo imetolewa na msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala Mgawe

1. Sajenti Shaibu Othuman,
2. Koplo Oswald Chaula,
3. Koplo Mohamed Juma,
4. Koplo Mohamed Chikilizo,
5. Pte. Rodney Ndunguru,
6. Pte. Peter Werema,
7. Pte. Fortunatus Msofe.

R.I.P Soldiers

source east Africa radio

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

Top