
Robin Van persie,Wayne Rooney,Tom Cleverley,Chris Smalling.. Wakiwa wemevaa UZI mpya wa msimu ujao.

zile Tetesi kwamba mshambuliaji Wayne Rooney kuomba kuondoka MAN UTD,Zimefeli..so msimu mpya Wayne Roonye kama kadawia ataendelea kuichezea UNITED na hivyo ndo ambavyo anaonekana kwenye JEZI mpya..

Hawa ni baadhi ya wachezaji wa UNITED wakiwa wamevaa UZI mpya na bado unaendelea kutoa..
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment