Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


 
Jeshi la Polisi nchini limesema tukio la mlipuko wa Bomu lililotokea jijini Arusha hivi karibuni na katika maeneo mengine ya ukanda wa nchi za kusini mwa Afrika ni mingoni mwa matukio ambayo yanafanya ukanda huu kuwa katika hatari zaidi ya kukabiliwa na matishio ya kigaidi na kuahidi kuchukua hatua zaidi za kudhibiti hali hiyo.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP SAID MWEMA amebainisha hayo mara baada ya kufungua mkutano wa Kimataifa wa Wakurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai wa nchi za Kusini mwa Afrika, ambapo ameongeza kuwa majeshi ya Polisi ya nchi hizo kwa kushirikiana na vikosi vya INTERPOL yatajadili mpango mkakati wa kudhibiti matukio hayo pamoja na matukio mengine yanayohatarisha hali ya Usalama.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top