Taarifa zaidi zinaeleza timu imeshindwa kufikia malengo waliyojiwekea zaidi ya kufuzu kwa michuani ya UEFA pekee hivyo wamefikia uamuzi wa kumtafuta maneger mpya msimu ujao 2013/14.
mwenyekiti Khaldoon Al Mubarak amesema Roberto ana rekodi ya kipekee na heshima kwa mmiliki wa klabu hiyo Sheik Mansour,pia kwa mashabiki wa klabu hiyo amejijengea heshima ya kipekee kwa kuvunja historia ya miaka 35 ya ukame wa vikombe.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment