Ni kumuomba Mungu tu siku zote na kama hajapanga hiyo siku iwe ya mwisho kwako, hata iweje haitakuwa ya mwisho…. kwenye hii video hapa ch...
Leo nimekuletea hii utazame barabara 10 hatari kwenye hii dunia! kosa moja tu la dereva….
Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya kosa moja tu unajiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha, hata...
AJABU:Mwanaume Apandikiziwa Uso wa Mtu Mwingine Baada ya Uso wake Kuaribika na Kuwekewa Sura ya Mtu aliyekufa
Picha ikimwonyesha Norris kabla hajapata ajali, alivyopata ajali na baada ya kuwekewa uso mwingine wa marehemu Ajali nyingi duniani zim...
Maajabu: Kila mtu na starehe yake…lakini ya bibi huyu ni kula mchanga kila siku!!
Kibonajoro.com iliwahi kuandika stori ya mama mmoja Evelyne kutoka Missouri, Marekani kupenda kunywa mvuke wa air freshner kila sik...
Maajabu! Mwanadada Ajifungua 'NAZI' badala ya Mtoto,Ushirikina watajwa
Maajabu! Msichana aliyefahamika kwa jina la Dora mkazi wa Magomeni Bagamoyo mkoani Pwani, hivi karibuni amejikuta akijifungua nazi badal...
Ajabu na kweli Ng'ombe Awala Kondoo Kenya, Akataa Kula Majani...(Video)!!
Mkulima mmoja nchi Kenya anasema kuwa mmoja wa ng'ombe wake amesusia lishe yake ya kawaida na kuanza kuwala kondoo. Charles M...
Maajabu; Kutana na Mtoto Aliyezaliwa Bila ya Pua.
Mtoto Eli Thompson ambaye alizaliwa March 4th katika Hospital ya Alabama akiwa hana pua. Cha ajabu na kushwangaza mtoto huyu mara baad...
Maajabu: Kutana na Mtoto Mwenye Umri wa Miaka Mitatu Mwenye Kuzungumza Kingereza na Kukokotoa Hesabu za Sekondari
Huyu mtoto ana miaka 3 anaitwa Nice , kwao ni Kiteto kijijini huko Manyara. Lakini cha ajabu ana uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari...
Makubwa... mbwa anayetembea na kuvaa kama binadamu yani.. Kuna video
Mbwa kwenye pozi zake na mavazi kama tu binadamu, pata picha unakutana naye barabarani halafu anatembea tu kama binadamu kwa miguu m...
MAAJABU: Mwanamke Jijini Dar Ajifungua Chatu!
MAAJABU! Ama kweli dunia ina mambo na ya Mungu mengi! Mwanamke mmoja, mkazi wa Mbezi- Maua jijini Dar aliyefahamika kwa jina moja la Neema...
Mtoto wa ajabu azaliwa Hospitali ya Mkoa Shinyanga
Mwanamke mmoja mkazi wa manispaa ya Shinyanga amejifungua mtoto wa ajabu wa kike asiyekuwa na mdomo wala pua huku masikio yake yakiwa sh...
Mke wa Mtu Sumu; Jamaa Anasa kwa Mke wa mtu baada ya kuchepuka.
Raia Mmoja wa Kenya wamemtokea puani baada ya kufumwa akiwa na mke wa mtu huku akivunja amri sita na kunasa kwenye sehemu za siri za mwana...
Maajabu ya Dunia.. Hii ni ya kichanga aliyezaliwa na kukutwa na ujauzito wa mapacha !!
Mara nyingi tumezoea kusikia matukio ya ajabu, mengine yakiingia kwenye historia na kuacha kumbukumbu zisizofutika kama hii ya mt...
Hii Nayo Kali Kutoka Mtwara: Eti Wazungu Wafanyiwa Tambiko!
Bosi wa kampuni ya mafuta ya Maurel et Prom (T) Ltd akinywa dawa ya tambiko Bosi wa kampuni ya mafuta ya Maurel et Prom (T) Ltd akip...
Tazama picha hizi za Mwanamke anayejikunja kama nyoka! Enjoy Mtu Wangu
Anaitwa Zlata kutoka Russia Hizi picha zinashangaza sana zinaonyesha jinsi Zlata, anavyoweza kujikunja na kuikunja nyonga yake picha h...
Kutana na Mwanajeshi wa Kiume Aliyebadili Jinsia na kuwa Mwanaume!
Ukimuona kwa jinsi alivyo mrembo na sura ya kike kweli, huwezi kudhania kuwa, Hannah Winterbourne alizaliwa mwanaume. Ni mwanajeshi...
Mti wa Ajabu Wagundulika Mbeya, Unadaiwa Kugawa Utajiri Wananchi Wafurika Kupasua Mti Huo
Wananchi wa kijiji cha Ijoka, Mkoani Mbeya wameingia kwenye imani za kishirikina baada ya kuandamana na kwenda kupasua mti ulianguka amba...
Exclusive; Mwanamke Mwenye Matiti Fake Makubwa Kuliko wote Duniani Huyu Hapa.
Anashika nafasi ya kwanza kwa wanawake akiwa na matiti makubwa kuliko wote lakin ni yale fake ya kuongeza ambapo jina lake ni Mayra ...
Duniani Kuna Mambo: Maiti yasafirishiwa juu ya keria!!
Tofauti na utaratibu uliozoeleka, katika hali ya kushangaza, wanandugu wamelazimika kusafirisha maiti juu ya keria ya basi kutoka Arusha h...
Majanga! Kaburi la Marehemu Aliyezikwa na Kuku Tumboni, Lafukuliwa Mkoani Shinyanga
Kaburi la marehemu Benadetha Steven aliyefariki dunia hivi karibuni kutokana na uvimbe tumboni aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Mapinduzi kata...










