Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza rasmi tarehe ya kurudiwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar kuwa ...
Rais Dkt. Magufuli Amteua Jakaya Kikwete Kuwa Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani...
JANUARY MAKAMBAASHANGAZWA NA HAYA MAGAZETI MATATU KUHUSU LOWASSA
Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameonesha kushangazwa na mfanano wa vichwa vya habari vya magazeti y...
Polisi Yakamata Majambazi 38 Yakiwa na silaha Nzito pamoja na Milioni 170......Majambazi hayo yanadaiwa na mafunzo ya Kijeshi
Jeshi la Polisi limewakamata watu 38 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi ambao pia wamepatiwa mafunzo ya kigaidi katika mikoa ya Dar es Sal...
Wananchi Wafunga Barabara Baada ya Gari la Polisi Kugonga Wanafunzi wawili
Wananchi wa eneo la Misugusugu Wilayani Kibaha Mkoani Pwani hii leo wamefunga barabara baada ya Wanafunzi wawili kugongwa na gari la Je...
Hali Tete Bunda, Viongozi CHADEMA Wajiuzulu...Kisa Ester Bulaya
SIKU chache baada ya mgombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Bulaya kuteuliwa ...
WEMA SEPETU Kufanyiwa Njama Akutwe na Madawa ya Kulevya..Apewa Onyo Kali..
Msanii wa filamu nchini na mwanasiasa chipukizi ametahadharishwa kuwa makini na marafiki wabaya wenye nia ya kuua ndoto zake za kuwa mwan...
Breaking News: Jeshi la Polisi Lakanusha Kupiga Marufuku Maandamano ya Kumsindikiza Kuchukua fomu Mgombea urais Chadema,Edward Lowassa
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amekanusha kupiga marufuku maandamano ya kumsindikiza Lowassa Kuchu...
Kumbe Askari Magereza Ndiye Aliyetoa Mafunzo Mauaji ya Polisi Stakishari
Na Makongoro Oging’ Kuna taarifa kwamba kumbe askari magereza mstaafu wa Gereza la Dondwe,Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani (jina lina...
PICHA: Magufuli Alivyolitikisa Jiji la Dar es Salaam Wakati Akichukua Fomu ya Kugombea Urais
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Ndugu...
Mbunge wa CCM Awakimbia TAKUKURU.......Ni Baada Ya Kunaswa Akigawa RUSHWA Kwa Wapambe Wake
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Manyara, imemhusisha Mbunge wa Babati Mjini, Kisyeri Chambiri (pichani kulia)...
Top 10 Ya Vyuo Bora Barani Afrika,UD Kipo?
Chuo Kikuu cha Cape town Vyuo vikuu vya Afrika Kusini ndio bora zaidi na maarufu barani Afrika. Katika utafiti uliofanyika majuzi, v...
Majibu ya Sheikh Shariff kwa Soudy Brown kuhusu ishu ya kuoa mke wa mtu…. (Audio)
Soudy Brown alianza na stori inayohusu jamaa mmoja ambae anadai kwamba Sheikh Shariff amemchukulia mkewe, baada ya madai hayp Soudy Bro...
Prof.Mwandosya: Magufuli Hajawahi Hata Kuwa Mjumbe wa Tawi la CCM...Iweje Apewe Urais Leo...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya amethibitisha kuwa sauti iliyosambaa mitandaoni akieleza mtazamo wak...
Jamaa Aliachiwa Mtoto Mchanga Akaamua Kumnywesha Maziwa Aliyochanganya na Pombe..
Dunia ina vituko vyake mtu wangu, na kwa wenzetu wa Marekani wakati mwengine vituko huzua madhara makubwa. Nimekutana na hii moja ...
Video fupi ikimuonyesha Rais Obama akicheza wimbo wa Sauti Sol Kenya.
Sauti Sol ni kundi maarufu la muziki kutokea nchini Kenya ambalo limefanikiwa kuvuka hata mipaka na kuteka kwenye nchi jirani kama Ta...
Picha za Rais Obama wakati anatua Uwanja wa Ndege Nchini Kenya…Ulinzi wake ni kufuru
Sehemu ambayo iliandaliwa kwa ajili ya obama kusign kitabu maalumu cha wageni Akisalimiana na ndugu zake Obama ameshawasili nc...
Rais Jakaya Kikwete Aongoza Marais wa Afrika Mashariki kwa Kulipwa Pesa Nyingi..Ni Wanne Afrika
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari, hivi karibuni alipotangaza kuwa yeye na makamu wake wangechukua nusu tu ya mishahara yao, ...
Majambazi Waliovamia Kituo cha Polisi Stakishari Wakamatwa..Silaha na Mamilioni ya Pesa Yakutwa Yamefukiwa Chini Huko Mkuranga
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limefanikiwa kuwakamata majambazi watano wanaodaiwa kuhusika na tukio la uvamizi...
Maneno ya Shilole na Nuhu Mziwanda baada ya kudaiwa kuachana..#UHearD (Audio)
Bado kuna hali ya sintofahamu miongoni mwa uhusiano uliopo kati ya Shilole na Nuhu Mziwanda . Shilole amesema kwa sasa wamegomban...













