
Staa Vanessa Mdee amefanikiwa kunyukua Tuzo za #AFRIMA ambazo zilikuwa zinafanyika jana nchini Nigeria na ameshinda katika kipengele cha Best Female East Africa na kupitia akaunti yake ya Instagram alicho post ni hiki hapa chini
This is what she wrote on her Instagram page; “To God be the Glory, ThankYou soo much for voting - I love you #BestFemaleEastAfrica #Tanzania”
The event took place at Nigeria
Hongera sana Vanessa Mdee kwa kuiwakilisha Tanzania Vema kwenye Mashindano hayo
Hongera sana Vanessa Mdee kwa kuiwakilisha Tanzania Vema kwenye Mashindano hayo
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment