Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitano kwenye tuzo za mwaka huu za Afrima. Vipengele hivyo ni pamoja na Songwriter of Th...
Ujumbe wa Diamond kwa bintiye Wazua Gumzo......Kamwambia "Ukikua chonde mama ukitunze wasikile sana"
Diamond Platnumz si mgeni kwenye jumbe tata kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ujumbe wake mpya kwa bintiye, Tiffah umesababisha mjada...
Bifu Kali Kati ya Diamond na Clouds Media
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadharani. Hii ni kutokana na media hiyo kut...
Afande Sele Aungana Na Mbunge Joseph Msukuma Kuitaka Serikali Ihalalishe Matumizi Ya Bhangi
Msanii mkongwe wa hip hop nchini, Afande Sele amefunguka na kusema serikali ihalalishe matumizi ya bangi na si kukosoa juu ya hoja ili...
Gari Jipya Analomiliki Masanja Mkandamizaji.
Msanii wa Vichekesho Anawakilisha kundi la Orijino Komedi anayejulikana kama Masanja Mkandamizaji Ameonyesha Gari yake mpya aina y...
Zari The Lady Boss Awakosha Mashabiki wa Penzi lake na Diamond Kwa Picha Hizi
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada ya kubandika picha zake akiwa kijijini ...
Diamond Yamkuta ya Wema… Atimuliwa Kwenye Nyumba ya Studio
SIKU chache baada ya muigizaji kiwango Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kutimuliwa katika nyumba aliyokuwa amepanga maeneo ya Kijitonyama jijin...
[Audio] Wastara Azungumzia Alivyoinadi CCM na nyumba Zake Kuwekewa Alama "X"
Wastara Juma ni mmoja wa wasanii maarufu wa filamu nchini Tanzania. Katika audio inayosikika kwenye video iliyopachikwa hapo chi...
KISA SIASA, WOLPER AWEKA PEMBENI UIGIZAJI
‘Mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper. Na Brighton Masalu Habari ikufikie kuwa ‘mtoto mtamu’ anay...
ALIYEKUWA DAKTARI WA CHELSEA, EVA CARNEIRO AFUNGA NDOA {PICHA}
Eva Carneiro (42) akiwa na mumewe Jason De Carteret wakati wa harusi yao. ...Wapenzi hao wakiwa na furaha baada ya kufunga ndoa. ...
Diva Wajibizana Vibaya Na Diamond Kwenye Kipindi Cha XXL Clouds FM
Diva Na Sauti Yake Ya Kujiamin Ikiambatana Na Nyodo Ajibizan Na Diamond On Air Kisa Mambo Ya Instagram , inasemekana diva Anamongelea vi...
Hii Ndio Picha ya Kwanza ya Diamond Akiwa na Mtoto wake Latiffah
Latiffah Naseeb Abdul a.k.a Tiffah Dangote au kama wazazi wake Diamond na Zari wanavyomuita ‘The African Royal Princess’, anaendelea kup...
Mtoto wa Diamond Latiffah Naseeb Abdul Aanza Maisha ya Ustaa Akiwa Hajamaliza Hata Siku Tangu Azaliwe
Latiffah aka Tiffah hajamaliza hata siku moja lakini tayari ni staa si tu kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari bali hata k...
Picha : ‘Bethidei’ Party ya Mzazi Mwenza wa Aunt Ezekiel , Moses Iyobo ya Kusanya Mastaa Kibao
Hizi ni baadhi ya picha za kwenye sherehe ya kuzaliwa ya siku ya kuzaliwa ya Moses Iyobo ambaye ni baba wa mototo wa Aunt Ezekiel . Ma...
Nuh Mziwanda Ajibu Tuhuma za Kumtongoza Wema Sepetu
Baada ya kusambaa sauti ya Nuh Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu, muimbaji huyo ameibuka na kukanusha kuwa sauti hiyo sio yake na kumtuh...
Unamkumbuka Mwanamuziki Defao ? Aonekana Akiwa 'Mchovu' Kenya Huku Sura yake Ikiporomoka kwa Sababu ya Mkorogo
Defao Kulia Staa mkongwe wa muziki kutoka DR Congo, Jenerali Defao baada ya kutosikika kwa muda mrefu ameonekana huko Kenya, akiwa na ...
Utata kuhusiana na kifo cha Bobbi Kristina umeanza, haya ndio madai ya rafiki yake wa karibu
Rafiki wa karibu wa Bobbi Kristina Brown , Amber Melvisha ana amini kuwa familia ya Bobbi haikufanya jitihada yoyote ya kuokoa maisha y...
Nora Awananga Wanaodai Ameshazeeka..Adai yeye Ajagalagazwa Ovya Kama Hao Wengine wa Bongo Movies.....
Nora Bongo Movies Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya ...












