Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Jas & Ness
Jas pamoja na Ness ambao ni mapacha waliweza kuteketeza ndoa ya Rapper Wiz khlaifa pamoja na reality star Amber Rose ambapo mtandao wa TMZ uliripoti kwa Amber alidai mapacha hao wanatoka na mumewe na yeye Amber kuomba Talaka kwa mumewe sasa nimekukusanyia baadhi ya picha za hawa watoto wa kike wazuri waliofanikiwa kumteka rapper Wiz khalifa....



 



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top