Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Habari zilizopo chini ya kapeti ambazo bado hazidhibitishwa ni kwamba yale nyota waR&B anayedwa na kukubalika na wengi ambapo umaarufu wake umeweza kuongezeka mara dufu kutokana na kutoka kimapenzi na Rihanna ... Ambapo wabongo wameweza kufananisha mapenzi ya Diamond na Wema Sepetu ni kama Chris na Rihanna.. Sasa unaambiwa Mazungumzo ya mwisho ya kukubaliana ndio yanafanyika na 
pia kama watakubaliana vizuri Chris Brown kutua Bongo bila utata hiyo .. Na kiingilio kikiwa sh elfu 50 wala msishangae.
Bonyeza Hapa like page yetu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top