Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Siku ya jana kulikuwa na ugomvi mkubwa kati ya watangazaji wawili wa kipindi cha  (XXL) kinachorushwa na kituo cha Clouds Fm Adamu Mchomvu pamoja na Fatma Hassan ama Dj Fetty katika studio za  Clouds ugomvi huu unasabaishwa na  mauzo ya Albam ya Fiesta! kama hukupata Fursa ya Kusikiliza Bonyeza hapa


  Kpindi cha asubuhi cha Hekaheka kilimtafuta Mtangazaji wa kipindi hicho Hamis Mandi ama B_dozen ili azungumzie ugomvi wa jana na kisa hasa kikiwa ni nin lakini kwa bahati mbaya hakusema kitu ila alishia kusema mabo yote ya kwenye uongozi wa Clouds Fm,picha ya chini ni picha ya jana baada ya ugomvi huo kutokea


kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top