Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kocha Joachim Low, amesisitiza Ujerumani haimhofii Lionel Messi hata kidogo katika mechi ya fainali dhidi ya Argentina, leo.
Lakini akasisitiza kuwa, Ujerumani itaweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Ulaya kuchukua Kombe la Dunia katika ardhi ya Bara la Amerika Kusini.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top