Wimbo ulipotoka kila mtu alielewa kilichozungumzwa na Profesa Jay hasa upande wa mashairi akitoa ushuhuda wa maisha yake ambayo yameongelewa mengi mpaka hapo alipo kiasi cha kuuliza ‘Kipi Sijasikia’
Video yake imeanzwa kutengenezwa July 12 ikimhusisha pia Super Producer wa wimbo huu P.funk Majani ambaye kwa video hii kasimama kama wakili pamoja na Diamond Platnumz upande wa pili.
Video hii inaongozwa na Adam Juma kutoka Next Level,baadhi ya vipande wakati video hii ikifanywa ni hivi.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa
>> millard ayo
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment