Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
DIEGO COSTA ATUA RASMI DARAJANI
Chelsea wamethibitisha kumsajili rasmi Diego Costa baada ya kufikia makubaliano na Atletico Madrid.
Chelsea ilitaka kukamilisha usajili huo kabla ya Kombe la Dunia kwa pauni milioni 32. Jambo hilo halikufanikiwa lakini sasa mkataba umefikiwa. Taarifa iliyotolewa imesema: "Chelsea inathibitisha kufikia makubaliano na Atletico Madrid kwa ajili ya uhamisho wa Diego Costa". Chelsea walikuwa wamekubali kulipa ada ya uhamisho na Diego Costa mwenyewe aliwaambia Atletico hamu yake ya kuondoka, lakini mkataba ulikuwa mgumu kufikiwa.

Chelsea wamethibitisha kumsajili rasmi Diego Costa baada ya kufikia makubaliano na Atletico Madrid.
Chelsea ilitaka kukamilisha usajili huo kabla ya Kombe la Dunia kwa pauni milioni 32. Jambo hilo halikufanikiwa lakini sasa mkataba umefikiwa. Taarifa iliyotolewa imesema: 


"Chelsea inathibitisha kufikia makubaliano na Atletico Madrid kwa ajili ya uhamisho wa Diego Costa". Chelsea walikuwa wamekubali kulipa ada ya uhamisho na Diego Costa mwenyewe aliwaambia Atletico hamu yake ya kuondoka, lakini mkataba ulikuwa mgumu kufikiwa.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top