Mcheza filamu mwenye jina kubwa kwenye filamu za kitanzania Hemed
Suleiman amesema anapata wakati mgumu sana akiwa anacheza filamu na
msanii mwenzake Wastara Juma,nakuongeza kuwa hiyo ni kwa sababu
anapocheza na msanii huyo moyo wake ujaa hofu nakuona kama anamtendea
vitendo vya kweli na kuona kama ana myanyasa kumbe wako kazini
Amesema ni miaka mitano imepita tangu walipocheza filamu ya Hekima hivyo
kuwataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani anakuja tena na
Wastara kwenye filamu mpya inayokwenda kwa jina la Last Decision
iliyoongozwa na Bond Bin Sinnan na kuchezewa Mwanza

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment