Leo (March 23) aliyewahi kuwa mfanyakazi wa
Clouds Media Group Reuben Ndege aka Ncha Kalih
anasheherekea siku yake ya kuzaliwa. Mpenzi na
mzazi mwenzake Dina Marios ambaye ni
mtangazaji wa kipindi cha ‘Leo Tena’ kupitia
Clouds FM, amemuandikia ujumbe mzuri baba wa
mwanaye (Zion) wa kumtakia birthday njema.
Birthday boy Ncha Kalih akiwa na Zion
Huu ndio ujumbe wa Dina kwa Ncha Kalih kupitia
Instagram:
Happy birthday my darling,my avatar,my baby,my
best friend,my google,baba Zion,Reuben Ndege
@nchakalih Leo ni siku yako muhimu ya kuzaliwa
napenda nikupongeze kwa kutimiza miaka
kadhaa.Imagine mwaka jana siku kama hii tulikuwa
tumenuniana kila mtu na njia yake.Lakini mwaka
huu tupo pamoja tena tukiwa ni wazazi wa
Zion.Nina furaha kwani kile nilichokuwa nakiona
miaka kadhaa nyuma kimekuwa kweli.Zawadi
kubwa kwako mwaka huu ni Zion ambae nina
uhakika anafurahi wewe kuwa baba yake.Namna
unavyoongea nae,kucheza nae,nyimbo unazo
muimbia ili alale yaani kazi yangu mimi inakuwa ni
kunyonyesha tu.Mungu akubariki na akuongezee
Busara,maarifa,imani,hekima,upendo na
uchapakazi kila siku.Nakupenda sanaa.
Reuben Ndege na Dina Marios
Na hiki ndicho dady Zion Reuben Ndege
alichomjibu mama wa mwanaye:
My Goon…mama zion…..mwamamke wa
nguvu…..mother house…..kioo changu. ….umenipa
zawadi kubwa sana in
zion….nakushukuru. ..tumepitia mengi na hadi
hapa nilipo umenifunza mengi. ….thank you for
believing in me tangu before we were
together…..you push me kila siku kuwa the best
that I can be because you see more of me than I
see of myself…..with every bit in mw thats
human. ..I thank you sana
Tunakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa Reuben
Ndege aka Ncha Kalih.
Na.bongo5






Post a Comment
Post a Comment