Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Goli la pili Mohamed Mtindi amefunga tena Dakika ya 92

Coastal Union 2 - 0 Mbeya City 
Na mpira umekwishaa ….

Kutoka Tanga Dakika ya 83 Mohamed Mtindi akaipatia Coastal bao la kuongoza dhid ya Mbeya City

Kadi ya njano kwa Said Madega wa Ruvu Shooting Dk ya 83

Kocha wa Ruvu Shooting Tom Olaba aondoka uwanjani - Dakika ni ya 81

Dakika ya 80, Saimon Msuva anaipatia Young Africans bao saba

Dakika ya 75, Ruvu Shooting 0 - 6 Young Africans

Dakika ya 70, Hamis Kiiza akaipatia Young Africans bao la sita

Dakika ya 69, akainia  Juma Abdul kuchukua nafasi ya Mbuyu Twite

Uwanja wa Mkwakwani Tanga ni dakika ya 72 bado ni 0-0

Dakika ya 60, Ruvu Shooting 0 - 5 Young Africans
akainia  Hassan Dilunga kuchukua nafasi ya Mrisho Ngasa

Dakika ya 54, Didier Kavumbagu akaipatia  Young Africans bao la tano

Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Ruvu Shooting 0 - 4 Young Africans
Mpira ni mapumziko: 

Yanga 4 - 0 Ruvu Shooting

Mbeya City 0 - 0 Coastal Union


Mbeya City 0 - 0 Coastal Union
Dakika ni ya 33

Dakika ya 30, Mrisho Ngasa anaipatia Young Africans bao la nnE

Dakika ya 27, Emmanuel Okwi akaipatia Young Africans bao la tatu
Dakika ya 20: Yanga 2 - 0 Ruvu 


Dakika ya 15, Ruvu Shooting 0 - 2 Young Africans

Dakika ya 2, Saimon Msuva akaipatiaYoung Africans bao la pili

Sekunde ya 40, Didier Kavumbagu
akaipatiaYoung Africans bao la kwanza.
>>>>Habari kwa msada wa tovuti ya shaffihdauda.com

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top