Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Rais Yoweri Museveni wa Uganda atia saini mswada wa sheria dhidi ya picha za ngono.
Rais Yoweri Museveni wa Uganda atia saini mswada wa sheria dhidi ya picha za ngono.
 
Ikiwa unaishi Uganda na unapenda kuvaa nguo fupi, zinazokubana bana au zinazoonyesha sehemu za mwili ambazo zaweza kuwafanya watu wa jinsia nyingine kusisimkwa na kutamani kushiriki ngono nawe, basi jua uko taabuni.

Hii ni kwa sababu rais Yoweri Museveni ametia saini mswada dhidi ya picha za ngono ambao unapinga mavazi yasiyo ya heshima haswa yanayovaliwa na wanamziki na picha za watu wakiwa uchi. Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda na taarifa zaidi.
 
>>>>>DW

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top