Kijana ambaye jina lake halijafahamika mpaka sasa ,anaeishi mwananyamala dar yes salaam inasemekana kuwa ni mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne mwaka Jana 2013 ,
Alikutwa amejichoma kisu shingoni na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu.
huku chanzo cha kijana huyo kujichoma kisu shingoni ni kufuatia kutoka kwa matokeo ya kidato cha nne na yeye kuwa amefeli kwa kupata zero.
Tutazidi kuwapa taarifa zaidi.
Chanzo....>>>>>>bongoswaggz.com
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment