Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mmesikia matokeo ya Kidato cha 4 mwaka 2013? BOMBAAAAA!!! Yanatia moyo. NAJISIKIA RAHA, .........SANA!
....... YES, WE DID IT.
HONGERENI wanafunzi, walimu, wazazi, wadau na Watanzania Mmefanya kazi kubwa, nzuri! Tumethubutu na tumeweza.
Ufaulu asilimia 58.2. SASA TUNASONGA MBELE.
NIKO POA, .......... SANA, WEWE JEE? ........................


Haya ndio aliyoyapost waziri wa elimu juu ya matokeo ya kidato cha nne 2013 katika PAGE yake ya SHUKURU KAWAMBWA FACEBOOK. 

ukitaka ujishuhudie CLICK LINK hii >>  shukuru.kawambwa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top