SalesBooklet ni mfumo wa kompyuta ambao utatumiwa kuendesha biashara ktk njia ya kisasa, mtu mwenye biashara atakua anaweza kujua takwimu mbalimbali kama vile mauzo, faida, matumizi, madeni, bidhaa zilizopo stoo, taarifa za kibenki, bidhaa zinazotoka sana, bidhaa zinazozalisha faida kwa wingi, wateja wanaoongoza kwa manunuzi nk. Pia mfanyabiashara atakaeitumia ataweza kutengeneza na kuprint au kutuma kwa email documents kama risiti, invoice, delivery notes, ledgers, orodha ya bei (price lists) nk. Pia mmiliki wa biashara ataweza kutambua kiurahisi sana mtaji wake wote, mauzo na faida atakayopata atakapouza bidhaa zake. Pia program hii mtu anaweza kuitumia kupanga bajeti yake na kukumbushwa iwapo matumizi yanataka kushinda bajeti yake. Unaweza kutunza kumbukumbu zako mbalimbali katika system kwa maelezo zaidi tembelea
http://salesbooklet.com/
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment