Kwa
mujibu wa mashuhuda mbalimbali jumla ya watu watatu inasemekana
wamefariki mpaka sasa, huku taarifa ya Jeshi la Polisi nchini ikisema ni
mtu mmoja tu aambae amethibitishwa kufa kutokana na tukio hilo.

Inasemekana bomu hilo lilirushwa na mtu asiyejulikana, huku watu wengi wakihusisha tukio hilo na chuki za kidini zinazoendelea kupandikizwa kwa kasi.
Mpaka sasa mtu mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi nchini kwa kuhusika tukio hilo.

mmoja wa majeruhi akipata hudu ya kwanza

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment