Goalkeeper Senzo Meyiwa wa Orlando Pirates iliyofuzu kwenye klabu bingwa afrika kwenye makundi licha ya kufungwa goli 1-0 na TP Mazembe ya lubumbashi,ya DRC .
Pirates imefuzu mara baada ya mechi ya mkondo wa kwanzakushinda 3-1 uwanja wa Orlando Johannesburg.
Meyiwa aliokoa penalti mbili katika mechi ya jana na kuisaidia timu yake kufunzu
Pirates draws ya makundi itapangwa may 7 mjini CAIRO mechi zitaanzwa kuchezwa july 19 kicks off
VIKOSI
Pirates: Meyiwa, Jele, Lekgwathi, Gcaba, Phungwayo, Myeni, Okonkwo, Maselesa, Segolela, Bester, Mbesuma.
Mazembe: Kidiaba, Frimpong, Kimwaki, Kabiona, Kasusula, Sinkala, Asante, Kabangu, Mputu, Singuluma, Samatta
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment