Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mahakama ya Rufaa Tanzania imemrejeshea ushindi aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini (CCM) Bwana Aeshi Hilaly dhidi ya mpinzani wake Bwana Norbert Namsebo wa CHADEMA baada ya kubaini mapungufu ya kisheria katika maamuzi yaliyotolewa na mahakama kuu ya Sumbawanga.
Photo: ♣SUMBAWANGA STAND UP♠
Hatimaye Aeshi Hilal arejea tena mjengoni. Nenda ukawatetee wanyonge maana wanakuhitaji sana. Hongera sana mheshimiwa mbunge.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top