MAJAMBAZI YAMPORA MAMA HUYU KIASI CHA SHILINGI MILIONI KUMI MUDA MCHACHE ULIOPITA KISHA KUTOKOMEA KUSIKO JULIKANA TUKIO HILO LIMETOKEA MAJILA YA SAA 5 ASUBUHI INAVYOSEMEKANA MDADA HUYO ALIKUWA AKITOKA BANK YA CRDBTAI LA UHURU
UHURU AMBAPO MAJAMBAZI YAKIWA NA PIKIPIKI WALIKUWA WAKIMFUATILIA ,ALIPOTOKA TU WAKALIGONGA GARI LAKE MAKUSUDI NDIPO DADA HUYO ALIPOSIMAMA ILI ANGALIE NANI KAGONGA GARI LAKE AMBAPO JAMBAZI MMOJA ALISHUKA KWENYE PIKIPIKI NA KUMPIGA RISASI YA KIFUANI NA WAKATOKOMEA NA KIASI HICHO CHA PESA ALICHOKUWA NACHO HUYO MWANADADA NA AKAFARIKI PAPO HAPO .
R.I.P
Post a Comment
Post a Comment