Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Familia ya watu tisa imeteketea kwa moto katika tukio la moto uliotokea majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo eneo la Buguruni Malapa Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa majirani, walisikia makelelea na walipoamka wakakuta moto mkubwa ukiwa unawaka katika nyumba hiyo hata hivyo juhudi zao za kuvunja mlango ili kuokoa watu waliokuwamo ndani zilishindikana.

Mmoja wa mashuhuda amesema wamefanikiwa kutoa miili ya watu watano iliyoungua vibaya, na imedaiwa kuwa baba mwenye nyumba amenusurika kifo kutokana na kuwa kazini katika shifti ya usiku.



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top