Unakumbuka Diamond aliwahi kumrecord wema wakati yupo na Penny ? Sasa ni zamu ya Nuhu mziwanda, Wema amemrecord Nuh wakati anamtongoza.
Kwenye hii audio Wema anasikika akisimamia msimamo wake wa kuwa hawezi kuwa na Nuh kwasababu yeye na shilole ni marafiki, “hasa hizo tatoo unazifanya nini ? .. hizo tatoo zako za shishi baby unazifanya nini ? au na mimi unanichora hehe ? ” anasikika wema
Hii audio inaweza ikawa imevuja wakati mmbaya sana hasa ukizingatia ni kipindi ambacho mpenzi wake Nuh mziwanda, Shilole yupo kwenye matatizo ya kufungiwa kujihusisha na kazi yoyote ya kisanaa. Audio hiyo inaoneshwa ni ya muda kidogo kwasababu Wema anasikika akizungumzia kwenda kwenye KTMA.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- VIDEO: Mama Wema Aeleza Beef yake na Man Fongo Kisa……..09 Sep 20160
NI Mama Wema Sepetu ambae ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa ...Read more ?
- Busu la Nelly Kamwelu shavuni kwa Diamond akiwa na Wizkid lawatoa povu mashabiki (Video)25 Aug 20160
Haipiti wiki bila Diamond kuwatoa povu mashabiki, hata kama alichokifanya si kwamba alidhamiria...Read more ?
- Picha za Masanja na Mke wake Zazua Maswali Kwa Mashabiki wake..Wadai Mke wa Mchungaji Apaswi Kuvaa Hivyo19 Aug 20160
Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili iliyopita wawili hao wameon...Read more ?
- AUDIO: Kitu Diamond kasema kuhusu yeye kuwa mapenzini na Hamisa Mobetto03 Aug 20160
Ukaribu wako kwenye mitandao ya kijamii siku za karibuni unaweza kuwa ulikukutanisha na stori...Read more ?
- Shamsa Ford Amuweka Wazi Mpenzi wake Mpya03 Aug 20160
Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa baada ya kuachana na mpenzi wake wa...Read more ?
- Madai: Flora Amwangukia Mbasha30 Jul 20160
Habari ya mjini ni Mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha kudaiwa kumwangukia mumewe waliyetengana, Em...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment