March 19, 2025 05:37:47 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Hatimaye golikipa Petr Cech ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Arsenal baada ya kocha Arsene Wenger kufanikiwa kukamilisha usajili wa malipo ya Paundi Milioni 10 na Klabu ya Chelsea.

Golikipa huyo wa Czech Republic alifaulu vipimo vya afya siku ya Ijumaa asubuhi na Leo rasmi ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Arsenal

Cech amesaini mkataba wa miaka minne na Arsenal, na atakuwa analipwa kiasi cha Paundi 100,000 kwa wiki, na anaweza kuanza kuonekana uwanjani kwenye Mechi kati ya Arsenal vs Chelsea katika mchezo wa ngao ya hisani.
Muda mfupi baada ya kutambulishwa na ArsenalCech alitumia mtandao wa Twitterkuwaandikia ujumbe maalum kwa washabiki wa Chelsea na kuwaaga.
Ujumbe alipost Kipa PETR CECH

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
30 Jun 2015

Post a Comment

 
Top