Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Habari zilizopatikana ni kwamba Sheikh Mkuu wa Tanzania
Issa Shaabani bin Simba amefariki Dunia.

Taarifa zinasema Mufti Simba amefariki asubuhi hii katika Hospitali ya TMJ ya jijini Dar es Salaam.


Mufti amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya sukari kwa muda mrefu. 

Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na alifanye kaburi lake kuwa moja ya Mabustani ya peponi. 

Taarifa zaidi endelea kufuatilia blogu yetu.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top