Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baba wa kambo wa Kim Kardashian, Bruce Jenner amejitambulisha rasmi kama Caitlyn Jenner baada ya kujibadilisha jinsia na kuwa mwanamke.
2941CBE200000578-0-image-a-18_1433207746503
Caitlyn ameongea kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza mchakato wa kubadilisha jinsia yake kwenye jarida la Vanity Fair. Hata hivyo Jenner bado hajabadilishwa sehemu zake za siri.
Habari hiyo imevuta hisia za watu wengi kwenye mtandao.
Tayari Bruce amefungua akaunti ya Twitter yenye jina lake jipya, Caitlyn Jenner. Ndani ya masaa machache akaunti hiyo imefikisha followers milioni 1.86.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top