Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kufuatia kitendo cha baadhi ya mashabiki kuwashambulia mastaa kwenye kurasa zao mitandaoni kushamili, Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameibuka na kuweka angalizo hili kwa followers wake.

"Mamboz! Nataka niulize swali hivi kunamtu nilimlazimisha kuni follow au ni kwa mapenz tuuu? sasa kwanini mtu anataka kuchukua jukumu la mzazi wangu kujifanya anajua sana maisha yangu wakati toka nizaliwe hajawahi kuninunulia ata pipiii!!!

"Sasa ni hivi kusemwa mimi siogopi na matus pia siogopi kabisa coz nimeanza kusemwa toka nipo tumboniii!!! Ila naomba sanaaa mwanangu awe pembeni hausiki ata kidogo tena naomba sanaaa fanyeni yote lakin mwanangu chondechondeee!!!

"Wewe unaesema na nyota ya mchanga ni kweli ujakosea kwasababu mchanga unadhamani kubwa sana ndomana ukizikwa lazima uwekewe mchanga!

"Sasa ambaye anaona amekuja huku ili anitukanie mwanangu naomba atoke haraka staki kuwa nawatu wengi wanafiki nibora kuwa na wachache wenye mapenzi ya kweli na ukikosea wanakwambia kuliko kuwa na wengi kazi yao umbea na majunguuu!!!

S"TAKI kama unajijua ni mmoja wao fanya usepeee!!!!!"

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
17 May 2015

Post a Comment

 
Top