March 18, 2025 09:02:52 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Instagram ni zaidi ya uionavyo, watu wanajua kula raha asikwambie Mtu jionee mwenyewe...maisha mazuri hadi unashawishika kutaka kujua zaidi wanafanya nini...ntajaribu kuwafuatilia hawa watupe siri ya mafanikio yao. 1. Vera anapenda clubs yaani mdada yeye ni full ku party. What I like from her she has a talent ni mchoraji balaa anaonekana msomi pia alisema karudi shule big up queenveebossette naomba tuongee zaidi kuhusu vipaji vyako naamini watu watabaki vinywa wazi pia hongera kwa kufungua duka la nywele zenye lebel yako.... 2. Starlisha huyu naye ni mrembo wa instagram yeye anapenda kula sehemu nzuri, kupiga picha akiendesha magari mazuri na selfie za kumwaga. Mungu ni mkubwa kapunguza mabifu, sikuhizi yeye ni mshauri na mhamasishaji wa masuala mbali mbali ya maendeleo, hii inampa heshima safi sana chaggabarbie naomba nijue siri ya utulivu wako, inapendeza sana. 3. Huddah kama hayuko airport, hotelini basi swimming pool huddahthebosschick unapenda kuogelea we mtoto, umekaa kibiashara tu mara photo shoot, mara kujibinua lebel yako ya mavazi niliiona pia naona unafanya kazi za kusafiri safiri. Hizo bikini unazotuonesha sana ukiziweka sokoni utauza sana. 4. Masogange, picha nyingi yuko kitandani, kama sio kitandani bafuni kama sio nje ya nyumba then anarudi kitandani anajipiga mapicha weee hadi analala. Hongera nawe officialagnes Mungu kakupendelea sana. Kuna wengine humu nashindwa kuwaelezea kwakweli...sitaki kujua sana maisha binafsi ya mtu ila natamani kujifunza au tujifunze kupitia hao "mastaa" hasa ambao wanatuonesha maisha yao Instagram! Hakuna asiyependa kupiga mapicha all the time kalala, anaogelea, kwenye mahoteli makubwa na maboti anaenjoy maisha kama mnaweza kupiga mapicha hayo jamani tuonesheni na kazi zenu nasi tutamani kufikia huko??.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
20 May 2015

Post a Comment

 
Top