Rais katika hotuba yake, Rais Kikwete amesema ujumbe wote wa mabango yote umemfikia, "hata wa mashemeji zangu, ukioa Mwalimu..." akatamka mambo kadhaa ambayo Serikali imeyapanga na yanaendelea kukamilika, kisha akasema, "Shemeji zangu baada ya kufanya hayo, nina uhaki ninawaacha pazuri."
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro











Post a Comment
Post a Comment