March 17, 2025 10:17:26 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kwa Mujibu wa chombo kimoja cha habari inasemekana Baba Mzazi wa Diamond, Mzee Abdul Juma Hali yake si nzuri kiafya kwani anasumbuliwa na Ugonjwa wa miguu kiasa cha kuwa ni mtu wa kulala tu hajiwezi ..
Baba huyo wa Diamond Amedai kuwa Mtoto wake Diamond Hajawahi kumsaidia chochote kuhusu ugonjwa wake wala kwenda kumjulia hali japo alishatangaza kwenye vyombo vya habari kuwa ameshamsamehe baba yake Mzazi..

Baba huyo amemtumia ujumbe Diamond na kumwambia kuwa Asisubiri afe ndio aende kumzika anamuomba msaada sasa ili aweze kupata matibabu ya ugonjwa wa miguu unaomsumbua

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
01 May 2015

Post a Comment

 
Top