Zimebaki siku 9 kabla ya pambano lilopewa jina la ‘Fight of the Century‘ kati ya mwanasumbwi tajiri zaidi duniani Floyd Mayweathe Jr ambaye ana rekodi ya kutopoteza pambano hata moja tangu aanze kucheza mchezo huo, dhidi ya mfilipino mwenye rekodi nzuri kabisa Manny Pacquiao kufanyika, leo hii bei ya viingilio vya kutazama mchezo huo imetangazwa.
Unaambiwa tiketi ya bei ya chini kabisa itakayokuwezesha kuingia MGM Grand Garden Arena itakuwa ikiuzwa kwa dola 1500 ambayo ni zaidi ya millioni 2.5 kwa hela yetu TZ.
Kwa wale vibopa ambao wa kati tiketi zao zitauzwa kwa dola 7500.
Tiketi hizi zitaanza kuuzwa leo usiku saa 2 kwa saa za Marekani ambapo jumla ya ticket zitakazouzwa ni ticket 1000.
Wakati huo huo zimetengwa tiketi za bei ya juu zaidi ambazo zitakuwa kwa ni dola 10,000 huku nyingine zikiuzwa kwa dola 200,000 kwa watu mashuhuri wenye uwezo wao yani.
Pia kwa wale watakaoshindwa kulipa viingilio hivyo, umeandaliwa mpango kuandaa sehemu itakayoingiza watu 50,000 ambao watalipa viingilio dola 150.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Ujumbe wa Samatta kwa Waliotamani Genk Ingepangwa Kundi Moja na Man United28 Aug 20160
Mchana wa August 26 2016 shirikisho la soka barani Ulaya UEFA lilichezesha droo ya kupanga makund...Read more ?
- Cristiano Ronaldo ashinda tuzo ya mwanasoka bora Ulaya26 Aug 20160
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora Ulaya. Ron...Read more ?
- Makundi ya klabu Bingwa Ulaya 2016/201726 Aug 20160
Droo ya kupanga Makundi ya klabu Bingwa Ulaya 2016/2017 ratiba kamili ya hatua ya makundi ya Uefa ...Read more ?
- MICHEZO Bilionea anayetaka kuinunua Simba, ametaja kilichomsikitisha katika mkutano wa Simba01 Aug 20160
Siku moja baada ya mkutano mkuu wa Simba kufanyika na kukubali kupitisha maadhimio ya mabadilik...Read more ?
- Gonzalo asajiliwa na Juventus kwa pauni milioni 7528 Jul 20160
Klabu ya Juventus wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Argentina, Gonzalo Higuain kutoka klabu...Read more ?
- Hongera Yanga kwa mlipofika, tujipange upya28 Jul 20160
Ni muda mrefu soka la Tanzania kwenye ngazi za vilabu limeonekana kuzorota kufuatia vilabu vyake k...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment