Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwanamke mmoja mwenye umbo la miraba minne ambaye unaweza kumuita Bonge baada ya jina lake kutopatikana mara moja, wikiendi iliyopita alifikwa na msala mkubwa alipo bambwa na sungusungu akifanya mapenzi kwenye kichaka na dereva wa teksi.
 
Chanzo chetu kilidai kuwa Bonge huyo alikuwa na wenzake wakitoka kwenye kicheni party, walipofika maeneo ya Sinza-Afrika Sana jijini Dar, aliwachenga wenzake  baada ya kumpata dereva huyo ambaye aliahidi kumpa kiasi f’lani cha fedha ili ‘wakalicheze segere’ usiku mnene.

Wakiwa katikati ya mchezo, jirani mmoja alisikia miguno ya kimahaba hivyo alipenyua pazia la dirisha lake na kuwashuhudia laivu kitendo ambacho kilimkera ambapo alitoka nje na kwenda kuwaita sungusungu ambao walifika na kuwatimua wawili hao huku bonge akitimka mbio na kuacha nguo yake ya ndani na kadi ya mwaliko wa kitchen party.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top