Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Hizi ni baadhi ya picha ambazo staa mrembo Irene Uwoya ame-share  kupitia ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram akiwa jijini Mwanza.
 
Huu  ulikuwa mtoko wake wa sikukuu ya PASAKA . Mbali ya picha hizi kusababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS huko Instagram, sio mbaya nawewe hapa kama mdau ukasafisha macho na picha hizi na kufunguka chochote kuhusu mtoko huu wa mrembo huyu ambae anatajwa kama ni mmoja kati waigizaji warembo zaidi hapa Tz.


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top