Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
henry
Mkongwe wa soka wa zamani wa klabu ya Arsenal Thierry Henry aligeuka kichekesho baada ya kuwasuprise wanafunzi wa shule ya Pen-Y-Dre ya nchini Wales.
Henry aliingia darasa la wanafunzi hao na kuzuga kama mwalimu ambapo aliingia na kujitambulisha kisha kumpa tuzo mwanafunzi Emma Morgan ambaye ni mdogo kiumri aliyeshinda tuzo ya kuogelea huku akiwa amevalia wigi na miwani.
henr2
Haikuwa rahisi wanafunzi hao kufahamu kama ni yeye kutokana na wigi la kike alilokuwa amevaa pamoja na miwani vitu ambayo viliwachanganya na kushindwa kumwelewa.
henr3
Henry kwa sasa ni mtangazaji katika kituo cha Televisheni cha Sky Sports News akiwa kama mchambuzi wa soka kipindi ambacho hurushwa jumapili na alikwenda shuleni hapo kwa ajili ya ya kutoa tuzo hiyo.
henry4

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
25 Mar 2015

Post a Comment

 
Top