March 25, 2025 09:53:30 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
rope_hanging_suicide
Stori ya mashabiki kujiua eti kisa timu yake imefungwa ama ina matokeo mabaya kwenye ligi sio ngeni kuzisikia.. Wapo ambao wanashindana wanaweka nyumba au hela, timu yake ikishindwa ishu inakuwa story tofauti.
Taarifa kutoka Kaunti ya Kilifi pwani ya Kenya mtu moja amejitoa uhai kwa kujitosa ndani ya bahari hindi kutoka kwa Daraja la Kilifi baada ya kukasirishwa na matokeo ya Robo fainali kombe la FA baina ya mahasimu wakubwa Uingereza Arsenal na Man Unitediliyochezwa jumanne usiku.
Mtu ambaye alizungumza na jamaa ambaye amejiua amesema kabla ya mechi shabiki huyo alikuwa akijigamba jinsi Man U watakavyowaadhibu Arsenal, lakini hali ikawa tofauti.
.
Kiitambulisho cha mtu ambaye alijiua kutokana na matokeo mabaya ya Man U.James Macharia Teresia.
Ishu iko mikononi mwaPolisi ambao wanendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio hilo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
13 Mar 2015

Post a Comment

 
Top