Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Menina


Kuna tetesi za miezi kadhaa sasa mtaani (ambazo sisi binafsi hatujaweza kuzithibitisha) kuwa Meninah alitoa mimba aliyopewa na Diamond Platnumz.

Wawili hao waliwahi kudaiwa kuwa na uhusiano lakini wote walikanusha.
 
Mtangazaji mahiri wa masuala ya udaku nchini, Soudy Brown kupitia You Heard ya Clouds FM amejaribu kumchimba Meninah kuhusiana na tetesi hizo ambazo zinaongeza kuwa Diamond alimpiga chini baada ya kiumbe chake kukatishwa.
 
Hata hivyo huenda jibu alilopata mtangazaji huyo hakuwa amelitegemea.
 
“Kwani (Diamond) sio rijali,” alihoji mrembo huyo. “Yeye hafai kumbebesha mwanamke mimba,” alisisitiza Meninah huku akicheka.
Kusikiliza sauti yake bonyeza HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
06 Mar 2015

Post a Comment

 
Top