Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz'.
Muonekano wa akaunti yake Instagram.
MSANII mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz' amefikisha mashabiki  laki tano (500,000) kupitia akaunti yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram.
Kupitia akaunti yake hiyo ya Intagram, Diamond aliwashukuru mashabiki wake wanaozidi kumsapoti kula kukicha kwa kuandika maneno yafuatayo: "Familia siyo tu watu ambao umezaliwa pamoja nao, ila ni pamoja na wale ambao upo nao saa 24 kwa uzuri au kwa ubaya, ambao wanakupenda au wanakuchukia. Hiyo ndiyo familia.
Nawapongeza sana wanafamilia wangu wa Instagram kwa kufikia nusu milioni" Aliandika staa huyo.


Kwa sasa staa huyo ndiye msanii mwenye mashabiki wengi katika mtandao Instagram.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top