
Siku mbili baada ya timu ya azam kuondolewa kwenye michuano ya kimataifa ya Klabu bingwa Afrika kwa kufungwa magoli matatu na El Meleck ya sudan wamemtimua kocha wao leo hii, wameandika hivi kwenye page yao ya faceboook
Uongozi wa Azam FC unatangaza kuachana na kocha wake mkuu Joseph Omog baada ya kuwa naye kwa miezi 14.
Omog aliyeipa Azam FC ubingwa wa kwanza msimu uliopita ameondoka pamoja na msaidiI wake Ibrahim Shikanda.
Kwa sasa timu itakuwa chini ya George Best Nsimbe
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment