March 19, 2025 09:15:29 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
TID
Wiki iliyopita taarifa za Mwanamuziki TID kumpiga mtu migumi kwa kosa la mtu huyo kupaki gari sehemu ambayo yeye huwa anapaki gari kusambaa mitandaoni leo limekuja jipya la Mwanamuziki huyo kumpiga Meneja wake Anaitwa Tall Myama...

Hajajulikana nini Sababu ya kichapo hicho ila walio shuhudia wanasema TID alimkuta Meneja wake huyo akistarehe pale Element Club na kuanza kumchapa Vibao....Baada ya tukio meneja huyo alikimbulia polisi na kumshitaki ....

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
26 Mar 2015

Post a Comment

 
Top