April 17, 2025 08:07:49 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Msanii wa Bongo Fleva,Khadija Shabani’Keisha’ amenusurika kufo baada ya kupata ajali maeneo ya Maktaba,Posta jijini Dar.
 
Akizungumza na mtandao  huu,Keisha alisema kuwa alikuwa akitoka chuoni CBE na kwamba alikuwa akimfuata mumewe alipofika maeneo hayo ndipo lilipotokea gari na kumuovateki na kuligonga gari lake.
 
Aidha alisema kuwa alisikia maumivu na alipokwenda hospitali kufanyiwa vipimo vilionyesha hakupata majeraha kwa ndani. 
 
"Nashukuru Mungu nilipimwa hospitali vipimo vilionyesha sikupata madhara yoyote kwa ndani kwani nilikuwa na wasiwasi labda niliumia kwa ndani," alisema Keisha.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
31 Mar 2015

Post a Comment

 
Top