Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Baada ya Ali kiba kuachia single mpya iitwayo Cheka Chaketua hivi karibuni,  Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ameshare nasi hizi kava nne zinazokaribisha ujio wa single yake mpya iitwayo Wanjera inayotarajiwa kuachia leo  tarehe 13, 2015.

Kava hizo zinamuonesha Ommy Dimpoz  akiwa  kimahaba  na msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu.


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top