March 20, 2025 04:15:42 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Staa  wa  kike  anayetesa  katika  filamu  za  kibongo  Halima  Yahya  'Davina'  amefunguka  kuwa  mumewe  anamuonea  sana  wivu  kiasi  cha  kumfanya  ajihisi  kama  malkia  katika  ndoa  yao.

Akiteta  na  Mpekuzi, Davina  alisema: "Mume  wangu  ananionea  sana  wivu  hasa  siku  hizi  nilizojazia, lakini  wivu  wake  unaongeza  chachu  ya  mapenzi.

"Yaani  nikichelewa  kidogo  tu  anagomba  mpaka  baaasi.Lakini  kwangu  mimi  sioni  kama  ni  kero.Najisikia  furaha  kuona  nipo  na  mwanaume  anayenipenda  kwa  dhati."

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
28 Mar 2015

Post a Comment

 
Top