March 19, 2025 10:18:08 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Siku ya juzi kwenye kurasa mbalimbali za watu maarufu kwenye mtandao wa INSTAGRAM walibandika picha hizi za mwanadada Wema Sepetu akiwa na Ommy Dimpoz wakiwa katika mapozi tofauti tofauti.
Kila zilipowekwa, wengi wa bonyeza kitufe cha kuzipenda na wengine waliandika maoni yao huku wengi wakiwasifia kwa jinsi walivyopendeza, na wengine walienda mbali zaidi kuwa wamependezana hivyo ingependeza hii iwe ni Le PROJECT mupyaaa.
Ila baadhi ya watu walibuka na kuponda bila sababu kibaya zaidi ni pale baadhi yao ambao sio waungwana na wamekosa maadili  walikuwa wakiporomosha lugha za maji taka nakuleta mabishano ambayo huchafua kabisa “post” za watu.
Tujirekebishe jamani hata kama watu huwapendi sio vyema kutumia akaunti feki na kutukana watu kwa chuki zako binafsi.
Hapa Wema na Ommy Dimpoz mmetokeleze, pokeeni LIKE!!
Mzee wa Ubuyu



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
06 Feb 2015

Post a Comment

 
Top