
Audio ya hii ngoma ilitoka mwaka jana, watu wakakaa zao kuisubiri VIDEO, Baba Levo mwenyewe aliwahi kuniambia hii ni VIDEO ambayo ameweka pesa nyingi zaidi kuifanya mpaka imekamilika kuliko video zake zote tangu aanze kufanya muziki.
Humo ndani yupo Queen Darleen na Peter Msechu, jamaa ambaye Baba Levo huwa anamtaja sana kwenye story zake za kila siku. bonyeza Hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment