
Kama mauzo yetu nje ni #VPL,Azam ni Utalii,Yanga ni Viwanda,Mtibwa ni Dhahabu na Simba ni Kilimo (tena Pamba kwa namna inavyoporomoka)
Utalii umepanda kutoka $1.6bn mwaka 2012 mpaka $2bn mwaka 2014
Viwanda vimepanda kutoka $1.1bn mpaka $1.4bn
Dhahabu imeshuka kutoka $2.5bn mpaka $1.2bn
Pamba imeshuka kutoka $157m mpaka $54m
Wewe unashabikia timu gani hapa Bongo na Nje ya bongo?
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment